<link rel="stylesheet" href="https://cdn.plyr.io/3.7.8/plyr.css" />
Back to CatalogHGBYatuwa Enjeremu: Misingi ya Kutafsiri
Yatuwa Enjeremu: Misingi ya Kutafsiri ·VideoTranslated from English

HGB-08 Utumizi wa Kisasa na Muda wa Agano la Kale

Read the full text

Video inayosaidiana na somo la 8 la mfululizo huo huo ambayo inajibu maswali yafuatayo: Kwa nini Maandiko ni ya mamlaka? Tunawezaje kuelewa uandishi wa Biblia? Kwa kiasi gani waandishi wa Maandiko waliathiriwa na mazingira ya watazamaji wao wa awali? Tunawezaje kutambua ni wahusika gani katika Biblia ni mifano chanya ya kuigwa na ni akina nani hasi tunapaswa kukataa? Tunawezaje kubainisha kutoka Maandikoni nyakati kuu au nyakati za historia ya ukombozi? Vigezo gani wanatheolojia wanatumia kugawa historia ya Agano la Kale katika nyakati au vipindi? Tunawezaje kuelewa Mungu kama mhusika mkuu na Shetani kama mpinzani katika simulizi la historia ya Agano la Kale? Tunawezaje kutumia taswira za Biblia za vita vya kimungu na kitaifa katika maisha yetu ya leo? Tunawezaje ofisi ya Yesu ya mfalme kuathiri njia tunazotumia Biblia kwa maisha ya kisasa?