Video inayosaidiana na somo la 9 la mfululizo huo huo ambayo inajibu maswali yafuatayo: Ni kwa jinsi gani waandishi wa Agano Jipya walivyofasiri mada za Agano la Kale katika nuru ya kuja kwa Kristo mara ya kwanza na ya pili? Ni kwa jinsi gani Kristo alitimiza mada ya mapigano dhidi ya uovu katika kuja kwake kwa mara ya kwanza? Ni kwa jinsi gani Kristo anatimiza mada ya mapigano dhidi ya uovu kupitia kanisa leo? Kristo atapokuja katika utukufu, atatimiza vipi mada ya Biblia ya mapigano dhidi ya uovu? Paulo alimaanisha nini katika sura ya 3 ya kitabu cha Waefesani alipoongea ya "siri iliyojulikana kwangu kwa ufunuo"? Ni kwa jinsi gani kuishi katika kanisa leo ni tofauti na kuishi katika siku za Kristo na mitume wake? Watu wa imani wanapaswa kufanyaje ili kuhesabu maendeleo katika ufalme wa Mungu tunapotumia Maandishi Matakatifu katika maisha yetu leo?
