<link rel="stylesheet" href="https://cdn.plyr.io/3.7.8/plyr.css" />
Back to CatalogHGBYatupaye Maandishi: Misingi ya Ufafanuzi
Yatupaye Maandishi: Misingi ya Ufafanuzi ·VideoTranslated from English

HGB-09 Utumizi wa Kisasa na Agano Jipya

Read the full text

Video inayosaidiana na somo la 9 la mfululizo huo huo ambayo inajibu maswali yafuatayo: Wanaandishi wa Agano Jipya walitafsiri vipi mada za Agano la Kale katika nuru ya kuja kwa Kristo kwa mara ya kwanza na ya pili? Kristo alitimiza vipi mada ya mapigano dhidi ya uovu katika kuja kwake kwa mara ya kwanza? Kristo anatimiza vipi mada ya mapigano dhidi ya uovu kupitia kanisa leo? Kristo atakapokuja katika utukufu, atatimiza vipi mada ya Biblia ya mapigano dhidi ya uovu? Paulo alimaanisha nini katika sura ya 3 ya kitabu cha Waefesu alipoongea ya "siri iliyojulikana kwangu kwa kufichuliwa"? Kuishi katika kanisa leo ni tofauti vipi na kuishi katika siku za Kristo na mitume wake? Watu wa imani wanapaswa kuhesabu vipi maendeleo katika ufalme wa Mungu tunapotumia Maandishi Matakatifu katika maisha yetu leo?