<link rel="stylesheet" href="https://cdn.plyr.io/3.7.8/plyr.css" />
BETA You're previewing the new Nexus — a work in progress.
Tanga
Kubeshya KatalogiPRHHistoria ya Mwanzo
PRH

Historia ya Mwanzo

Gundua kwa nini sura ya 1-11 ya Kitabu cha Mwanzo ilikuwa si tu kumbukumbu ya kihistoria bali pia ilikuwa hoja yenye nguvu kuwahimiza Waisraeli kumfuata Musa hadi kwenye Nchi ya Ahadi.

Kuhusu Mfululizo huu wa Masomo

Mfanya Mafunzo
Richard L. Pratt, Jr. & Guests
Disiplina
Old Testament
Kundi la Kozi
Pentateuch
Pakua
Vifaa vya Kozi, Academic Packets

Mwanzo 1-11 una baadhi ya simulizi za Biblia ambazo watu wengi wanazijua. Wiki ya kuumbwa, Adamu na Hewa, Bustani ya Edeni, safu ya Noa, Mnara wa Babeli - Wakristo wanazijua simulizi hizo vyema. Lakini ni Wakristo wangapi wanaojua kile ambacho Musa alikusudia kuwafundisha kwa simulizi hizo?

Katika muktadha wake wa kale, historia hii ya awali haikuwa kumbukumbu ya kihistoria rahisi. Badala yake, ilikuwa hoja yenye nguvu ya kulaani Misri na kuwahimiza Waisraeli kumfuata Musa hadi kwenye Nchi ya Ahadi.

Malengo ya Mfululizo

  • Wanafunzi waeleweke kwenye jukumu la Musa kama kiongozi wa Israeli.
  • Kufafanua kazi ya simulizi za awali katika eneo la kale la Mashariki.
  • Kufupisha muundo, maudhui, maana ya awali na matumizi ya kisasa ya Mwanzo 1-11.
Iboneka muri AMARMYZHENHIIDRUESTATE